Head image
Govt. Logo

Hits 30554 |  1 online

     

TANGAZO YA MAFUNZO YA NDOA

Posted: 2020-11-03 09:18:32
Ofisi ya Mufti inawatangazia wananchi wote kwamba,Mafunzo ya Ndoa kwa mkupuo wa 8 yanatarajiwa kuanza siku ya jumamosi 7/11/2020 saa 2 asubuhi mpaka saa 6 mchana.
Mafunzo hayo yanatolewa kwa siku ya jumamosi na jumapili.
Shime wanandoa na wanaotarajia kuingia kwenye ndoa, wanahimizwa kuja Ofisi ya Mufti kuchukua fomu za mafunzo ya ndoa.
Mafunzo hayo yanaendeshwa bila ya Malipo.

Huduma za Tehama

Barua Pepe Msaada wa kisheria

Sisi

Mwanzo Kuhusu Sisi Idara Zetu

Viunga Muhimu

MAHAKAMA DPP WAKFU LRC SADC IKULU

Mawasiliano

Ofisi Kuu
S.L.P 772, Mazizini, Zanzibar
Tel.: +255(24)2234683 Mhe WaziriTel.: +255 (24)2234684 Katibu Mkuu,
Fax: +255 (24)2234689
Email: info@sheriasmz.go.tz