Head image
Govt. Logo

Hits 27840 |  4 online

     
Waziri wa Wizara ya Katiba na Sheria Mhe Khamis Juma Mwalim akitoa pongezi Ikulu Jijini Zanzibar kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein.
news phpto

Waziri wa Wizara ya Katiba na Sheria Mhe Khamis Juma Mwalim akitoa pongezi Ikulu Jijini Zanzibar kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein kwa kuwaongoza vyema katika utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Waziri wa Wizara ya Katiba na Sheria Mhe Khamis Juma Mwalim akitoa pongezi Ikulu Jijini Zanzibar kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein kwa kuwaongoza vyema katika utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambapo Wizara hiyo inajivunia kutekeleza kwa mafanikio makubwa Ibara ya 121 (d) na (e) kulia ni Katibu Kiongozi Ndg Abdulhamid Yahya Mzee na kushoto baada ya Mhe Waziri ni Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mhe Said Hassan Said.

Huduma za Tehama

Barua Pepe Msaada wa kisheria

Sisi

Mwanzo Kuhusu Sisi Idara Zetu

Viunga Muhimu

MAHAKAMA DPP WAKFU LRC SADC IKULU

Mawasiliano

Ofisi Kuu
S.L.P 772, Mazizini, Zanzibar
Tel.: +255(24)2234683 Mhe Waziri



Tel.: +255 (24)2234684 Katibu Mkuu,
Fax: +255 (24)2234689
Email: info@sheriasmz.go.tz