Hits 40642 | 1 online
Mkuu wa Mkoa Kusini Pemba Mhe Mattar Zahor Masoud akila kiapo cha Utii mbele ya Rais wa Zanzibar.
Mkuu wa Mkoa Kusini Pemba Mhe Mattar Zahor Masoud akila kiapo cha Utii mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Dkt Hussein Mwinyi , Kabla uteuzi huo Mhe Mattar alikuwa ni Afisa Mdhamin Wizara ya Katiba na Sheria katika awamu ya 7. Uongozi na Wafanyakazi wa Ofisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi na Utawala Bora unamtakia kheri Baraka na Mafanikio katika kutekeleza majukumu yake ya Kazi kwa kila hatua .