Hits 69533 | 1 online
Afisa mdhamini akimkaribisha Waziri wa Katiba na Sheria Mhe Khamis Juma Mwalim kwenye ziara ya kukagua Mahakama za Pemba.
Afisa Mdhamini Wizara ya Katiba na Sheria Zanzibar Ndugu Mattar Zahor Massoud akimkaribisha Waziri wa Katiba na Sheria Mhe Khamis Juma Mwalim kwenye ziara ya kukagua Mahakama za Pemba na Kuonana na Watendaji na Wafanyakazi wa Taasisi zilizochini ya Wizara ya Katiba na Sheria Afisi Kuu Pemba.