Hits 69509 | 4 online
Miaka 56 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
Wizara ya Katiba na Sheria Zanzibar inatoa pongezi kwa Raisi wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mh Dr Ali Mohamed Shein, Wazanzibari na Watanzania wote kwa kuadhimisha miaka 56 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Kutoa huduma bora kwa jamii kwa kuzingatia misingi ya Katiba, Sheria, Haki, Democrasia na Utawalabora.