Hits 2859 | 1 online
Mkurugenzi Idara ya Msaada wa Kisheria Bi Hanifa Ramadhan Said (kulia) akichangia katika kikao cha Utekelezaji wa Mapango kazi kwa kipindi cha Julai-Disemba 2019.
Mkurugenzi Idara ya Msaada wa Kisheria Bi Hanifa Ramadhan Said (kulia) akichangia katika kikao cha Utekelezaji wa Mapango kazi kwa kipindi cha Julai-Disemba 2019 katika mkutano wa Wizara ya hiyo uliofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) mwengine (katikati) Mrajis wa Mahkama Mohamed Ali Mohamed na Mtendaji Mkuu wa Mahkama Kai Bashir Mbarouk (kushoto) [Picha na Ikulu].